Yanga yajifua Shinyanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Nov 2018
Yanga yajifua Shinyanga
Kikosi cha Yanga kiliwasili mapema leo mkoani Shinyanga tayari kwa mchezo wa ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui Fc utakaopigwa keshokutwa kwenye uwanja wa CCM Kambarage.

Baada ya kuwasili, jioni Yanga ilifanya mazoezi mepesi katika uwanja wa shule ya Msingi ya Savannah.

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema mazoezi hayo ni maalum kwa ajili ya kuweka sawa miili ya wachezaji na kuondoa uchovu wa safari.

Ikumbukwe kabla ya safari ya Shinyanga, Yanga ilikuwa mkoani Lindi ilikocheza na Namungo Fc ya Wilayani Ruangwa kwenye mchezo wa kirafiki.

Kesho Yanga inatarajiwa kujifua kwenye uwanja wa CCM Kambarage tayari kwa mchezo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’