Uongozi wa Yanga, TFF wasaka muafaka wa uchaguzi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2018
Uongozi wa Yanga, TFF wasaka muafaka wa uchaguzi
Wanachama wa klabu ya Yanga wamepinga uchaguzi wa klabu hiyo kusimamiwa na Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kwa kuwa klabu hiyo inayo Kamati yake ya uchaguzi.

Juzi Wanachama hao walikutana kwa dharura na kutoa tamko la kupinga Kamati ya uchaguzi ya TFF kujihusisha na uchaguzi wa Yanga.

TFF imewaalika viongozi wa Yanga kwenye mazungumzo ili kupata mwafaka kuhusu utaratibu wa usimamizi wa uchaguzi huo.

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omary Kaya amesema mazungumzo hayo yatalenga kumaliza sintofahamu hiyo kuhusu uchaguzi huo uliopangwa kufanyika mwakani Januay 13, 2019

Wakati huo huo zoezi la utolewaji fomu kwa wagombea limeanza rasmi leo Makao Makuu ya klabu ya Yanga na Ofisi za TFF zilizoko Ilala jijini Dar es salaam.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’