Yanga inatarajiwa kushuka dimba la Kambarage mkoani Shinyanga Novemba 22 kuikabili Mwadui Fc katika mchezo wa kiporo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
Siku tatu baadae timu hiyo itakuwa mkoani Kagera, kumenyana na Kagera Sugar katika mchezo mwingine wa kiporo ambao uliahirishwa kutokana na Yanga kukabiliwa na ratiba ya michuano ya kombe la Shirikisho.

Kumekuwa na ukosoaji kuwa Yanga 'imependelewa' kwa kucheza michezo mingi jijini Dar es salaam.
Lakini ukiondoa sababu ya baadhi ya michezo kuahirishwa, kuna michezo ambayo imechezwa jijini Dar es salaam Yanga ilikuwa ugenini.

ADVERTISE HERE