Mashabiki wamjaza mapesa Fei Toto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2018
Mashabiki wamjaza mapesa Fei Toto
Bao la dakika za majeruhi lililofungwa na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' jana liliwapagawisha mashabiki wa Yanga waliofika uwanja wa Taifa kushuhudia mchezo dhidi ya KMC na kujikuta wakimwagia 'manoti' kiungo huyo.

Tukio hilo la aina yake lilijiri punde baada ya mchezo kumalizika ambapo mashabiki walijichanga 'fasta fasta' na kumkamatisha 'mshiko wa upendo' Fei Toto



Furaha hiyo ya ushindi wa dakika za majeruhi ilinoga zaidi nje ya dimba la Taifa ambapo mashabiki wa Yanga waliendeleza shangwe huku wakitaja jina la kiungo huyo aliyesajiliwa kutoka JKU ya visiwani Zanzibar
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’