Nahodha msaidizi wa Yanga Juma Abdul ni kama amepoteza namba kwa kinda Paulo Godfrey 'Boxer' ambaye tangu ajumuishwe kwenye kikosi cha kwanza kutoka Yanga B, kiwango chake kimekuwa kikipanda siku hadi siku.
Abdul amekuwa akisumbuliwa na majeruhi ya mara kwa mara ambayo kwa kiasi kikubwa yameathiri ufanisi wake aliokuwa nao miaka miwili iliyopita.
Amerejea hivi karibuni kikosini baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana na majeraha ya goti aliyopata kwenye mchezo wa kwanza wa ligi msimu huu dhidi ya Mtibwa Sugar.
Amekuwa akijifua maradufu kuhakikisha anakuwa 'fit' na kuweza kurejea kwenye kikosi cha kwanza cha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania, Yanga

ADVERTISE HERE