JKT Tanzania kuzipeleka Yanga na Simba Mkwakwani Tanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Oct 2018
JKT Tanzania kuzipeleka Yanga na Simba Mkwakwani Tanga
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limeiruhusu klabu ya JKT Tanzania kutumia uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga kwa ajili ya michezo yake dhidi ya Yanga na Simba.

TFF imeiruhusu timu hiyo kupeleka michezo yake jijini Tanga dhidi ya vigogo hao wa soka nchini kutokana na uwanja wake wa nyumbani inaotumia sasa wa Meja Jenerali Isamuhyo ulioko Mbweni Dar es Salaam, kutokuwa na uwezo wa kuhimili wingi wa mashabiki wa timu hizo.

Yanga ilipaswa kucheza na JKT Tanzania Septemba 26 kwenye uwanja wa Taifa lakini mchezo huo uliahirishwa kupisha maandalizi ya mchezo wa Simba na Yanga uliopigwa Septemba 30.

Yanga sasa italazimika kusafiri mkoani Tanga kuivaa JKT Tanzania katika mchezo wa kiporo ambao umepangwa kupiga mwakani Feb 09, 2019.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’