Mkwasa kurudi India Novemba 06

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Oct 2018
Mkwasa kurudi India Novemba 06
Aliyekuwa Katibu wa Yanga, Charles Mkwasa, anatarajia kurudi India kwa mara nyingine tena Novemba 6 kwa ajili ya kufanyiwa vipimo huku akifunguka kuwa anaendelea vizuri.

Mkwasa alifanyiwa upasuaji wa moyo mwanzoni mwa Agosti, mwaka huu, baada ya kukumbwa na maradhi hayo ambayo yalipelekea kujiuzulu majukumu yake katika klabu ya Yanga.

Mkwasa amesema baada ya kufanyiwa operesheni hali yake sasa inaendelea vizuri.

"Kwa sasa ninaendelea vizuri na hali yangu imezidi kuimarika kwani nazingatia masharti yote niliyopewa na dokta lakini pia nahudhuria kliniki kwa dokta Lwakatare ila natarajia kwenda India tena kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa maendeleo yangu katika hospitali ile ya mwanzo lakini kuhusu kurejea Yanga nitaangalia baada ya miezi sita kupita,” alisema Mkwasa.

GPL
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’