Harmonize ainusuru Ndanda Fc, aipatia Mil tatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2018
Harmonize ainusuru Ndanda Fc, aipatia Mil tatu
Msanii wa Bongo Fleva anafahamika kwa jina maarufu la Harmonize ameipatia klabu ya Ndanda FC kiasi cha Mil 3 na laki tano kuweza kulipa deni wanalodaiwa mkoani Singida na kisha kuweza kurejea mkoani Mtwara.

Uongozi wa Ndanda Fc umethibitisha kupatiwa fedha hizo na umeanza mchakato wa kumalizana na hoteli kabla ya kuanza safari ya kurejea mkoani Mtwara.

"Kwa niaba ya Ndanda SC tunamshukuru sana Harmonize kwa Msaada wake wa kutupatia Sh Milioni 3 Na Laki 5 (3500000/)ambazo zitasaidia Timu kulipa Deni la Malazi hapa Singida Na kusafiri kesho kurudi Mtwara.

"Mwenyezi Mungu amjaalie kwenye majukumu yake ya Kila Siku"

Ndanda FC ilikwama mkoani Singida ilipokwenda kucheza mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Singida United baada ya kuishiwa fedha.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’