Ligi Kuu ya Tanzania Bara imeingia mzunguuko wa tisa jana Ijumaa na leo Jumamosi inaendelea kwenye viwanja sita tofauti.
Moja ya michezo inayopigwa leo ni kati ya Simba dhidi ya African Lyon, mchezo ambao utapigwa saa moja jioni kwenye uwanja wa Taifa.
Hii hapa ratiba ya michezo yote ya leo;

Ligi hiyo itandelea kesho Jumapili kwa michezo mitatu kupigwa.
Baada ya watani zao kumalizana na African Lyon uwanja wa Taifa leo, kesho itakuwa zamu ya Yanga kwenye uwanja huo watakapo wakaribisha Mbao FC kwenye mchezo unaotarajiwa kupigwa saa moja usiku.
Mzunguuko wa tisa utakamilishwa kwa mchezo mmoja kupigwa Jumatatu kati ya Azam FC dhidi ya Coastal Union.
Baada ya mchezo huo ligi itasimama kwa siku kumi kupisha michezo ya Kimataifa ambayo iko kwenye kalenda ya FIFA.

ADVERTISE HERE