Mazoezi ya Stars yanoga JMK Park

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2018
Mazoezi ya Stars yanoga JMK Park
Kikosi cha timu ya Taifa kimeendelea kujifua katika viwanja vya kituo cha michezo cha JMK Park Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam kujiandaa na michezo miwili dhidi ya Cape Verde.

Michezo hiyo ni ya kusaka tiketi ya kufuzu fainali za michuano ya Africa (AFCON) mwakani ambapo mechi ya kwanza itachezwa Cape Verde Oktoba 12,2018 na mchezo wa marudiano Oktoba 16,2018 Uwanja wa Taifa.

Stars kwa sasa inaendelea kujifua ikijumuisha wachezaji wanaocheza soka ndani wakati wachezaji wanaosakata kabumbu nje ya nchi wanatarajiwa kuwasili mwishoni mwa wiki.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
2h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
14h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
23h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’