Ukweli kuhusu jengo la Yanga

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
17 Aug 2017
Ukweli kuhusu jengo la Yanga
Ni kweli Wizara ya Ardhi inaidai klabu ya Yanga takribani Mil 300 ikiwa ni malimbikizo ya ada ya jengo na kiwanja kinachomilikiwa na Yanga.

Yanga ilifungua kesi Mahakama ya Ardhi kuhoji uhalali wa deni hilo. Lakini inalazimika kulipa baada ya kushindwa.

Hivi karibuni Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa alisema tayari klabu ilikuwa imeanza mchakato wa kulipa deni hilo.

Hii habari ya Jengo la Yanga kupigwa Mnada Jumamosi imeripotiwa na gazeti moja la Serikali kupitia tangazo la mnada lililotolewa na kampuni ya Msolopa.

Habari hiyo imechagizwa zaidi na msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Manara hajawahi kuitakia mema klabu ya Yanga, pia Yanga ina utaratibu wake wa kutatua matatizo yake.

Deni hilo wala sio la leo, lipo toka mwezi wa tano na viongozi wamekuwa wakilishughulikia.

TANGAZO LENYEWE LA MNADA HILI HAPA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’