Yanga kurejea Dar leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Sep 2018
Yanga kurejea Dar leo
Kikosi cha Yanga kimemaliza kambi ya siku tano mkoani Morogoro na leo kinarejea jijini Dar es Salaam.

Yanga ilitua Morogoro mapema wiki hii na kuweka kambi kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba keshokutwa.

Baada ya kutua Dar Yanga inatarajiwa kujichimbia kenye moja ya Hotel maarufu kuhakikisha wachezaji wake wanakuwa katika mazingira tulivu kabla ya kuwavaa Simba Jumapili.

Shamrashamra kuelekea mchezo wa Jumapili zimepamba moto.

Mpambano huo namba 101 baina ya timu hizo unasubiriwa kwa hamu na mashabiki.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’