Amunike atangaza majina ya wachezaji 30 wanaounda Stars itakayoikabili Cape Verde

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Sep 2018
Amunike atangaza majina ya wachezaji 30 wanaounda Stars itakayoikabili Cape Verde
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ametangaza Kikosi cha wachezaji 30 watakaongia kambini kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON 2019 dhidi ya Cepe Verde Oktoba 12 na 16, 2018.

Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam, Amunike ametaja majina ya wachezaji hao 30

Walinda mlango:
Aishi Manula (Simba)
Beno Kakolanya (Yanga)
Mohamed Abdulahm (JKT Tanzania)

Walinzi:
Hassan Kessy (Nkana)
Shomari Kapombe (Simba)
Salum Kimenya (Prisons)
Gadiel Michael (Yanga)
Paulo Ngalema (Lipuli)
Ally Sonso(Lipuli),
Aggrey Morris (Azam),
David Mwantika (Azam),
Abdallah Kheri (Azam)
Kelvin Yondani (Yanga)
Andrew Vicent (Yanga),
Abdi Banda (Baroka)

Viungo:
Himid Mao (Petrojet),
Saimon Msuva (El Jadida)
Mudathir Yahya (Azam),
Frank Domayo (Azam),
Jonas Mkude (Simba)
Feisal Salum (Yanga)
Salum Kihimbwa (Mtibwa Sugar),
Farid Musa (Tenerife)

Washambuliaji:
Mbwana Samatta (KRC Genk),
Thomas Ulimwemgu (Al Hilal)
John Bocco (Simba)
Yahya Zayd (Azam)
Kelvin Sabato (Mtibwa Sugar)
Rashid Mandawa (BDF XI)
Shaban Chilunda (Tenerife)
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’