FT : Yanga 1-0 Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Sep 2018
FT : Yanga 1-0 Coastal Union
Yanga imeendeleza wimbi la ushindi uwanja wa Taifa baada ya kuichapa Coastal Union bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara mzunguuko wa tano.

Bao pekee la Yanga liliwekwa kambani na mshambuliaji hatari wa mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, Heritier Makambo kwenye dakika ya 12.




Bao hilo ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na Ibrahim Ajib ambapo mpira wake mrefu ulimaliziwa kwa ustadi mkubwa na Makambo aliyetokea nyuma kuuwahi mpira huo uliowavuka walinzi wa Coastal Union.

Hilo ni bao la tano kutengenezwa na Ajib katika michezo mitatu ya Yanga.





Kipindi cha pili vijana wa Coastal Union walikuja juu kusaka bao la kusawazisha lakini hata hivyo leo safu ya ulinzi ya Yanga pamoja na mlinda lango Klaus Kindoki walikuwa makini.

Ushindi huo umeipeleka Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama tisa ikiwa imeshinda michezo yale yote mitatu.

Haya hapa matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo;


ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’