Zahera anavyorejesha Nidhamu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Sep 2018
Zahera anavyorejesha Nidhamu Yanga
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesisitiza umuhimu wa nidhamu kwa wachezaji wake ambapo ameanza kuchukua hatua kwa wale ambao hawafuati maelekezo yake.

Ramadhani Kabwili, Said Juma, Haji Mwinyi na Pius Buswita wamekuwa wachezaji wa kwanza kuonja 'shubiri' ya Mcongomani huyo ambaye pia ana uraia wa Ufaransa.

Wote wataukosa mchezo wa leo dhidi ya Costal Union huku pia hatma yao ikisubiriwa kuamuliwa na uongozi wa Yanga.

Moja ya changamoto iliyokuwa ikiisumbua Yanga ni hii ya wachezaji kujiamulia 'kukacha' mazoezi au kutoingia kambini bila ya kutoa sababu za msingi.

Lakini kwa utaratibu huu uliokuja nao Zahera huenda akafanikiwa kuikomesha tabia hiyo.

Pia Zahera amekuja na utaratibu wa kuwakata mishahara wachezaji wanaoingia matatani kutokana na makosa wanayofanya.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’