Kila tukitokea Pemba tunachinja mnyama

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
15 Aug 2017
Kila tukitokea Pemba tunachinja mnyama
Uliwahi kuifahamu hii rekodi?

Katika mechi tano ambazo Yanga iliweka kambi Pemba tangu msimu wa 2012/13, haijawahi kufungwa na Simba zaidi ya kupata ushindi mara tatu na sare tatu.

Mei 18, 2013, Yanga ikitokea Pemba iliichapa Simba mabao 2-0, wakati Oktoba 20, 2013 timu hizo zilitoka sare ya mabao 3-3.

Matunda ya kambi ya Pemba yaliendelea kwa Yanga kwani Septemba 26, 2015 iliichapa Simba mabao 2-0, huku pia ikitokea Pemba iliichapa tena Simba mabao 2-0, Februari 20, 2016.

Oktoba Mosi, 2016 ikitokea Pemba, Yanga ilitoka sare ya bao 1-1 na Simba.

Hata hivyo, mechi nyingine ambazo Yanga iliweka kambi nje ya Pemba ilipoteza kwani Machi 8, 2015 iliweka kambi Bagamoyo na kuchapwa na Simba bao 1-0, wakati pia ilipoteza mchezo dhidi yaSimba Februari 25 mwaka huu baada ya kuweka kambi Kigamboni.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’