Zahera kuiongoza Yanga Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2018
Zahera kuiongoza Yanga Jumapili
Baada ya kupata vibali vya kumuwezesha kufanya kazi nchini, kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera anatarajiwa kuwaongoza mabingwa hao wa Kihistoria kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara keshokutwa Jumapili dhidi ya Stand United.

Zahera tayari amerejea kutoka DR Congo alikokwenda kwa ajili ya majukumu ya timu ya Taifa yeye akiwa ni kocha Msaidizi.

Zahera alianza kukaa katika benchi la Yanga kwenye mchezo wa mwisho wa kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports uliopigwa Rwanda August 29.

Kocha huyo sasa ataweza kutimiza majukumu yake ipasavyo kwenye ligi pia baada ya kibali chake kilichosubiriwa kwa karibu miezi mitatu kupatikana.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’