Mapema leo ilivuja taarifa kuwa Shirikisho la soka nchini (TFF) lilipanga kuusogeza mbele na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya watani wa jadi, Simba na Yanga uliopangwa kupigwa Septemba 30 2018.
Afisa Habari wa TFF Clifford Ndimbo amesema mchezo huo utapigwa Septemba 30 kama ratiba ilivyopangwa
Akizungumza na waandishi wa habari leo Makao Makuu ya TFF jijini Dar es salaam Ndimbo amesema mchezo huo uko palepale na tiketi zitaanza kuuzwa Setemba 20 na kampuni ya SELCOM
Ametaja viingilio vya mchezo huo kuwa ni;
VIP A - 30,0000/-
VIP B na C - 20,000/-
Mzunguuko - 7,000/-

ADVERTISE HERE