Baada ya kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Papi Kabamba Tshishimbi, mchezaji huyo atafanya interview ya kwanza akiwa mchezaji wa Yanga kesho Jumanne.
Tshishimbi alitua jijini Dar es salaam juzi usiku ikiwa ni masaa machache tu tangu baadhi ya Media kupotosha kuwa Yanga ilikuwa imepoteza mawasiliano nae.
Usikose mahojiano yake kesho saa tano asubuhi.
Huyu Hussein Nyika, Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga hajawahi kuwaacha watu salama.

ADVERTISE HERE