Fei Toto amewapania hasa Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Sep 2018
Fei Toto amewapania hasa Simba
Kiungo fundi wa Yanga Feisal Salum 'Fei Toto' amesema anawasubiri kwa hamu watani zao Simba kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa baadae mwezi huu, Septemba 30 uwanja wa Taifa.

Fei Toto ambaye tayari amedhihirisha na kuwa mmoja wa wachezaji wa kutegemewa wa kikosi cha Yanga licha ya kuwa na umri mdogo wa miaka 19, amesema mchezo dhidi ya Simba utabainisha dhamira yao ya kutwaa ubingwa msimu huu.

Fei tayari amekuwa 'kipenzi' cha mashabiki wa Yanga kwani kutokana na utalaamu wake mwingi alionao, amekuwa akishangiliwa sana kila anaposhuka dimbani.

"Ninajua mashabiki wa Yanga wanafurahia ninachokifanya na wana imani kubwa juu yangu. Na mimi ninafurahia hilo na pia najisikia vizuri. kikubwa ninachowaahidi ni ubingwa,” amenukuliwa Fei Toto.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’