Sakata la Banka, adhabu au ugonjwa?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2018
Sakata la Banka, adhabu au ugonjwa?
Kuna taarifa kuwa kiungo wa Yanga Mohammed Issa 'Banka' alifungiwa na Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) baada ya kufeli vipimo vya afya kwenye michuano ya CECAFA Challenge Cup nchini Kenya Novemba, 2017.

Inaelezwa kuwa Mtibwa Sugar walipewa taarifa juu ya kufungiwa mwaka mmoja kwa kiungo huyo hivyo wakaacha kumtumia kwenye michezo ya ligi tangu mwezi wa pili mwaka huu.

Hata hivyo hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na uongozi wa Yanga juu ya ukweli wa kufungiwa kwa Banka zaidi ya taarifa ya ugonjwa.

Kama ni kweli kiungo huyo alifungiwa na CAF kwa mwaka mmoja basi ataanza kuitumikia Yanga Novemba pale kifungo chake kitakapomalizika.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’