Timu nane zilizofuzu robo fainali CAF CC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Aug 2018
Timu nane zilizofuzu robo fainali CAF CC
USM Alger na Rayon Sports zilifuzu kutoka kundi D lililojumuisha Gor Mahia na Yanga pia.

Jana USMA iliilaza Gor Mahia mabao 2-1 na Rayon ikiifunga Yanga 1-0.

USMA imetinga robo fainali ikiwa kinara wa kundi D wakati Rayon Sports imemaliza nafasi ya pili.

Hizi hapa timu zote zilizofuzu robo fainali



Milioni 600 iko palepale

Yanga italipwa fungu lake la Mil 600 baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano hiyo bila ya kujali nafasi iliyomaliza.

Fedha hizo zitalipwa kwa timu zote zilizotolewa kwenye hatua ya makundi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’