Amunike awatosa wachezaji wa Simba kikosi cha Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Aug 2018
Amunike awatosa wachezaji wa Simba kikosi cha Stars
Wachezaji sita kati ya saba wa Simba walioitwa kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars', wameondolewa baada ya kuchelewa kuripoti kambini.

Kulingana na taarifa iliyopatikana mapema leo, ni mlinda lango Aishi Manula pekee ambaye anaelezwa kuripoti kambini kwa wakati.

Kocha Mkuu wa Stars Emanuel Amunike ametangaza majina ya wachezaji sita wengine walioteuliwa kuchukua nafasi zao.

Wachezaji wa Simba walioondolewa;
Erasto Nyoni
John Bocco
Hassan Dilunga
Shomari Kapombe
Jonas Mkude
Shiza Kichuya

Wachezaji walioongezwa:
Salumu Kimenya
Salum Kihimbwa
Paul Ngalema
David Mwantika
Frank Domayo
Kelvin Sabato
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
32m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
41m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’