Ligi Kuu mzunguuko wa pili kuendelea leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Aug 2018
Ligi Kuu mzunguuko wa pili kuendelea leo
Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo inaingia raundi ya pili ambacho michezo kadhaa inatarajiwa kupigwa katika viwanja mbalimbali.

Saa nane mchana Coastal Union iliyolazimishwa sare na Lipuli kwenye mchezo wa kwanza itakuwa nyumbani ikipepetana na Biashara FC.

Michezo mingine itakayopigwa leo;

Ruvu Shooting vs KMC
Alliance vs African Lyon
Azam Fc vs Ndanda

Jumapili
Singida United vs Mwadui FC

Jumatatu
Simba vs Mbeya City

Yanga haitakuwa na mchezo wikiendi hii kwa kuwa inakabiliwa na mchezo wa Kimataifa wa kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports utakaopigwa nchini Rwanda Jumatano ijayo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’