Geofrey Mwashiuya alirejea mazoezini jana lakini alishindwa kumaliza mazoezi hayo baada ya kutonesha majeraha yake hivyo anaendelea kuwa nje.
Beno Kakolanya alipumzishwa mazoezi ya jana naye hatarajii kucheza mchezo wa leo dhidi ya Ruvu Shooting.
Obrey Chirwa bado anaendelea na matibabu ya majeraha yake ya goti hivyo naye hawezi kucheza.
Leo ni nafasi nzuri kwa kipa kinda Ramadhani Kabwili kuichezea Yanga kwa mara ya kwanza kwenye mchezo rasmi wa kirafiki.

ADVERTISE HERE