Mnigeria akaribia kusajiliwa na Yanga

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
11 Aug 2017
Mnigeria akaribia kusajiliwa na Yanga
Beki wa kati raia wa Nigeria Yisa Anifowoshe (25) huenda akasajiliwa na Yanga kumalizia nafasi moja ya mchezaji wa Kimataifa.

Yisa hucheza nafasi zote za ulinzi wa kati, wasifu wake kwa ufupi amecheza timu ya MFM FC kwao Nigeria kabla hajatimkia klabu ya Al Ittihad SC ya Oman.

Ana siku kadhaa kwenye kikosi cha Yanga akifanya majaribio na tayari anaonekana kumvutia kocha Lwandamina.

Upo uwezekano akasjiliwa.

Yanga ina mpaka tarehe 15 August kukamilisha usajili wa mchezaji mmoja wa Kimataifa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’