Mapema leo viongozi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Hussein Nyika walipokea mipira 10 kutoka kwa kampuni ya Justfitt TZ.
Kampuni hiyo inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya michezo, imetoa mipira hiyo kama mchango kwa timu.
Mipira hiyo ilikabidhiwa kwenye uwanja wa Jamhuri, wakati wa mazoezi ya jioni ya leo kujiandaa na mchezo dhidi ya Mawenzi Market.
Viongozi waandamizi wa Yanga wako mkoani Morogoro tayari kwa Tamasha la kumuaga mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro' hapo kesho Jumapili

ADVERTISE HERE