T-Shirt maalum za kumshukuru Nadir

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Aug 2018
T-Shirt maalum za kumshukuru Nadir
Ili kuifanya siku ya kumstaafisha mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro' iwe ya kipee, uongozi wa klabu ya Yanga umetengeneza T-Shirt maalum kwa ajili ya kumshukuru mkongwe huyo aliyeitumikia Yanga kwa miaka 12.

T-Shirt hizo zitauzwa uwanja wa Jamhuro keshokutwa August 12 wakati wa mchezo wa kumuaga mkongwe huyo kati ya Yanga dhidi ya Mawenzi Market.



Pia T-Shirt hizo tayari zinapatikana katika maduka yafuatayo jijini Dar es salaam;


  • Just fit Mlimani City Mall

  • Streetsoul Quality Centre

  • Streetsoul Shoppers Mbezi

  • Streetsoul Oilcom Kijitonyama



Pia unaweza kununua kupitia tovuti rasmi ya Yanga
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
10h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’