Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wanatarajiwa kuweka kambi kisiwani Pemba kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba August 23.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, Charles Mkwasa inaeleza kuwa Yanga itaelekea Pemba mara baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege August 13.
Kikosi cha Yanga kitakwenda visiwani Zanzibar Jumapili, August 13 siku moja baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Ruvu Shooting.

ADVERTISE HERE