Pozi baada ya mazoezi makali

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
9 Aug 2017
Pozi baada ya mazoezi makali
Huku Juma na kule Juma! Pichani Juma Mahadhi akiwa na Juma Abdul.

Juma Abdul sasa yuko fiti baada ya kupona kabisa majeraha ya goti. Mahadhi msimu huu huenda ukawa wake wa kudhihirisha ubora wake.

Kuna baadhi wamekuwa wakihoji kwa nini uongozi wa Yanga uliamua kuachana na mpango wa kumrejesha Mrisho Ngassa dakika za majeruhi?

Jibu ni rahisi, ukiwa na winga kama huyu Juma Mahadhi ambaye ndio kwanza ana miaka 21, uwe na mawinga Geofrey Mwashiuya, Emanuel Martin, pia chipukizi Yusuph Mhilu, Said Mussa na Burhani Akilimali sidhani kama utauona umuhimu wa Ngassa.

Achilia mbali uwepo wa Obrey Chirwa na Ibrahim Ajib ambao wanaweza pia wakatokea pembeni.

Mwaka huu Yanga imefanya kitu sahihi ambacho wengi tumekuwa tukikiogopa, kuwaamini vijana.

Kikosi cha Yanga kimesheheni vijana wengi wenye vipaji, wanachohitaji ni kuaminiwa na kupewa nafasi ya kuonyesha uwezo wao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
36m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’