Yanga kwenda Morogoro kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Aug 2018
Yanga kwenda Morogoro kesho
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka kesho Alhamisi, August 02 kuelekea mkoani Morogoro kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger.

Mchezo huo utapigwa uwanja wa Taifa August 19, 2018.

Kambi hiyo pia itakuwa kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa VPL.

Aidha kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, August 12 Yanga itacheza mchezo wa kirafiki.

Mchezo huo maalumu ni kwa ajili ya kumuaga mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro' ambaye amestaafu na sasa akiwa Meneja wa Yanga.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’