Ushindi wa mabao 3-2 iliyopata Gor Mahia dhidi ya Yanga jana umeifanya ifikishe alama nane ikiwa sawa na USM Alger iliyolazimishwa sare ya bao 1-1 na Rayon Sports huko Algeria.
Rayon Sports imeendelea kusalia nafasi ya tatu ikiwa na alama tatu
Kimehesabu, USM Alger na Gor Mahia zinahitaji angalau alama moja kutoka michezo miwili iliyosalia ili ziweze kutinga robo fainali.
Yanga imepoteza nafasi ya kutinga rono fainali kwani hata ikishinda michezo miwili iliyobaki itafikisha alama saba pekee.

ADVERTISE HERE