Beki Elisha Muroiwa ataendelea kuitumikia Singida United baada uhamisho wake wa kutua Yanga kukwama kutokana na kuchelewa kwa mchakato wa usajili.
Muroiwa ilikuwa atue Yanga baada ya Rais wa Singida United Dr Mwigulu Nchemba kuidhinisha uhamisho wa mchezaji huyo raia wa Zimbabwe.
Hata hivyo mpango huo umekwama dakika za mwisho hivyo ataendelea kuitumikia Singida United.

ADVERTISE HERE