Siwa kumrithi Pondamali Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2018
Siwa kumrithi Pondamali Yanga
Uongozi wa Yanga umemleta kocha wa makipa wa Bandari FC ya Kenya, Razak Siwa kuanza majukumu ya kuwanoa walinda mlango wa mabingwa hao wa kihistoria Tanzania Bara.

Siwa alitua nchini jana mchana akipokewa na Mwenyekiti wa kamati ya usajili, Hussein Nyika.

Yanga ilianza mazungumzo na mlinda lango huyo mwezi uliopita. Ujio wake huenda ukamuondoa mkongwe Juma Pondamali aliyeshikilia majukumu ya kuwanoa makipa wa Yanga kwa zaidi ya miaka mitano.

Siwa hana historia nyepesi kwenye soka kwani, anafahamika sana kwa umahiri wa kuwanoa makipa wakali katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, ambapo aliwahi kuinoa Yanga misimu kadhaa ya nyuma kabla ya kurudi kwao Kenya.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’