Chikupe, Abdul wasaini mikataba mipya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jul 2018
Chikupe, Abdul wasaini mikataba mipya
Mabeki Andrew Vicent Chikupe na Juma Abdul wamesaini mikataba ya kuendelea kubaki Jangwani kwa awamu nyingine.

Walinzi hao ambao licha ya kuchelewa kusaini mikataba mipya, walirejea kuitumikia Yanga kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia.

Kila mmoja amesaini mkataba wa miaka miwili.

Wakati dirisha la usajili likitarajiwa kufungwa kesho Alhamisi saa 5.59 usiku, Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omari Kaaya amesema watafunga dirisha hilo kwa kishindo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’