Rais wa Singida United Mwigulu Nchemba imetimiza ahadi yake ya kumleta Yanga beki Mzimbabwe Elisha Moroiwa aliyekuwa akiitumikia Singida United.
Baada ya hapo kuthibitisha kuwa ni yeye aliyefanikisha usajili wa Feisal Salum 'Fei Toto' kutua Yanga, Mwigulu aliahidi kumleta na Moroiwa.
Ahadi hiyo ameitekeleza.
Baada ya hapo kuthibitisha kuwa ni yeye aliyefanikisha usajili wa Feisal Salum 'Fei Toto' kutua Yanga, Mwigulu aliahidi kumleta na Moroiwa.
Ahadi hiyo ameitekeleza.
ADVERTISE HERE