Mashabiki Yanga wafurika Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jul 2018
Mashabiki Yanga wafurika Jangwani
Mamia ya mashabiki na wanachama wa klabu ya Yanga leo wamefika Makao Makuu ya klabu hiyo mtaa wa Twiga na Jangwani kufahamu hatma ya klabu yao.

Mapema leo baadhi ya viongozi waandamizi wa Yanga walifika klabuni hapo kwa ajili ya kuonana na wachezaji wanaoendesha mgomo wakishinikiza walipwe mishahara na fedha za usajili.

Kuna taarifa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga ameandika barua kwa Bodi ya Wadhamini akitangaza kujiuzulu nafasi zote za uongozi.

Kumekuwa na shinikizo kubwa miongoni mwa wanachama na mashabiki wa Yanga wakimtaka Sanga ajiuzulu.

Bado kumekuwa na sintofahamu Jangwani, mashabiki wameendelea kufurika nje ya jengo la klabu.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’