Beki kisiki wa Yanga Kelvin Yondani huenda akawa njiani kurejea timu yake ya zamani Simba baada ya jana kufanya mazungumzo ya awali na uongozi wa timu hiyo.
Yondani hakusafiri na kikosi cha Yanga nchini Kenya ambacho leo kinashuka kwenye uwanja wa Kasarani kuumana na Gor Mahia.
Licha ya kufikia makubaliano ya kubaki Jangwani, Yondani aliamua kujiweka pembeni akisubiri mabosi wa Yanga wamlipe pesa za usajili kabla ya kusaini mkataba mpya.
Lakini jana Simba inadaiwa walifanikiwa kufanya mazungumzo na beki huyo aliyetaka apewe Mil 80 ili ajiunge nao.
Yondani huenda leo akakukana na bilionea wa mabingwa hao wa Tanzania Bara msimu uliopita ili kumalizana nae.

ADVERTISE HERE