Kaseke, Ngassa walivyokaribishwa nyumbani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2018
Kaseke, Ngassa walivyokaribishwa nyumbani
Mapema leo Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika aliwatambulisha rasmi winga Mrisho Ngassa na kiungo Deus Kaseke kuwa wamesajiliwa na Yanga.

Wawili hao ni kama wamerudi nyumbani kwani kabla ya kutimka kusaka maisha mahala pengine, walikuwa watoto wa Jangwani.



Usajili wa Kaseke na Ngassa ulitambulika mapema baada ya majina yao kujumuishwa kwenye kikosi cha Yanga kinachoshiriki michuano ya kombe la Shirikisho.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’