Banka aahidi kurejesha makali ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jul 2018
Banka aahidi kurejesha makali ya Yanga
Baada kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga, kiungo mshambuliaji Mohammed Issa 'Banka' amesema amekuja Yanga kufanya kazi.

Banka ameushukuru uongozi wa Yanga kwa kumsajili na ameahidi kuifanya Yanga 'iwe Yanga'.

Amesema anajiamini, ujio wake utaongeza kitu kwenye kikosi cha Yanga.

Hana wasiwasi juu ya kucheza kwani anaamini kwa uwezo wake ataweza kumshawishi kocha Mwinyi Zahera kumpa nafasi.

Mohammed Issa ametokea visiwani Zanzibar. Yanga imeendelea na utaratibu wa kuwapa nafasi wachezaji kutoka visiwani humo.

Jina la Banka amepachikwa na mashabiki waliomfananisha na kiungo fundi aliyewahi kutamba Yanga miaka ya nyuma, Mohammed Banka.

Wako wanaodhani Banka huyu ndio yuleyule wa miaka ilee, wakati ukweli ni kwamba ni watu wawili tofauti.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’