Yanga kuweka kambi Arusha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jul 2018
Yanga kuweka kambi Arusha
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuelekea mkoani Arusha kuweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Yanga itacheza na Gor Mahia Julai 19 katika mchezo wa tatu wa kombe la Shirikisho utakaopigwa Nairobi Kenya kisha kurudiana na timu hiyo jijini Dar es salaam, Julai 28.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya timu hiyo Hussein Nyika amesema wameamua kwenda kuweka kambi mkoani Arusha ili kwenda sawa na hali ya hewa ya Nairobi ambayo wakati huu ni baridi.

Nyika amesema awali walipanga kuweka kambi mkoani Morogoro lakini wamekumbana na changamoto ya kukosa uwanja wa mazoezi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
28m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’