Kiungo mshambuliaji mwenye kasi ya 'kimbunga' Mrisho Ngassa leo amefanya mazoezi na kikosi cha Yanga yanayofanyika uwanja wa chuo cha Polisi, Kurasini jijini Dar es salaam.
Ngassa aliyezitumikia Mbeya City na Ndanda FC msimu uliomalizika ni miongoni mwa wachezaji ambao huenda wakaitumikia Yanga msimu ujao.
Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi chini ya kocha wake Mkuu Mwinyi Zahera kujiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia utakaopigwa jijini Nairobi, Kenya Julai 18.
Zahera pia ameendelea majaribio kwa baadhi ya wachezaji wanaotaka kusajiliwa na Yanga.

ADVERTISE HERE