Tujitokeze kwa wingi uwanja wa Taifa leo

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
5 Aug 2017
Tujitokeze kwa wingi uwanja wa Taifa leo
Yanga leo inashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa kuanzia saa 10 jioni kupambana na Singida United katika mchezo rasmi wa kirafiki.

Yanga imekuwa ikijifua kwa takribani wiki tatu ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa ligi.

Pia imesajili wachezaji wapya ambao leo kwa mara ya kwanza watavaa uzi wa Yanga.

Hii ni fursa kwa mashabiki kuishuhudia timu yao ikitambulisha wachezaji wake iliyowasajili kwa ajili ya msimu mpya

Tufurike kwa wingi pale uwanja wa Taifa kuipa nguvu timu yetu, hii ni siku maalumu kwa ajili ya mashabiki.

Pia uwanjani zitapatikana jezi original za Yanga pamoja na bidhaa nyingine za klabu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’