Marcelin Koukpo amepania kwelikweli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jun 2018
Marcelin Koukpo amepania kwelikweli
Pichani juu, Marcelin kuokpo (kushoto) akiwa kwenye majukumu ya kuitumikia timu ya Taifa ya Benin.

Straika mpya wa Yanga Marcelin Kuokpo ambaye anasubiri kutambulishwa, yuko nchini kwa zaidi ya wiki mbili akisubiri kuanza rasmi kazi katika timu yake mpya.

Koukpo atakayetumia jezi namba 11 iliyoachwa na Donald Ngoma amewaambia mashabiki wa Yanga watulie kwani mambo matamu yanakuja.

Mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Benin mwenye umri wa miaka 23 amesajiliwa na Yanga akitokea klabu ya Buffles du Borgou ya kwao Benin.

Jina lake litakuwa miongoni mwa majina matatu yatakayotumwa CAF ili Yanga iweze kumtumia kwenye michuano ya kombe la Shirikisho na huenda akawa dimbani kuivaa Gor Mahia Julai 18 nchini Kenya.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’