Aziz Ki anarejea kwenye ubora, wajipange

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4d ago
Aziz Ki anarejea kwenye ubora, wajipange

Juzi Yanga ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya KVZ uwanja wa Maisara Unguja ukiwa ni mchezo wa kwanza wa kocha Fadlu Davids.

Katika mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 huku kiungo Stephane Aziz Ki alikuwa kivutio.

Akiongoza eneo la kiungo cha ushambuliaji, Aziz Ki alihusika kwenye mabao yote akitokea asisti zote tatu kwa mabao yaliyofungwa na Cheick Toure aliyeweka kambani mabao mawili na Edmund John.

Baada ya kuanza majukumu yake Yanga, Fadlu alizungumza na Aziz Ki na kuweka bayana umuhimu wake katika mipango ya Yanga msimu huu.

Nyota huyo wa Kimataifa wa Burkina Faso ameanza kuonyesha cheche zake na kuthibitisha kwa nini Yanga iliamua kumrejesha na mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa KMC Complex kumpokea.

Licha kuanza msimu taratibu Aziz Ki pia ana asisti tatu kwenye ligi kuu ya NBC.

Yanga SC Stories

Goals : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
Goals : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
FT : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL
FT : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : JKT Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
Kikosi : JKT Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
13h ago
READ MORE β†’
Mudathir amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Mudathir amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Dladla awaaga Wananchi
Dladla awaaga Wananchi
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Polisi Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
Matchday; Polisi Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yawasili Moshi tayari kuikabili Polisi Tanzania
Yanga yawasili Moshi tayari kuikabili Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yakamilisha maandalizi tayari kuifuata Polisi Tanzania
Yanga yakamilisha maandalizi tayari kuifuata Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’
Dikgacoi atamba Yanga ipo tayari kuivaa Polisi Tanzania
Dikgacoi atamba Yanga ipo tayari kuivaa Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’