Kikosi cha Yanga leo kimeingia siku ya pili ya maandalizi katika kambi ya siku 10 inayoendelea visiwani Zanzibar.
Mkufunzi wa Yanga Fadlu Davids leo amewapeleka vijana wake Gym kuweka sawa utimamu wa miili yao kabla ya kazi ngumu kwenye uwanja wa mazoezi.







ADVERTISE HERE