Job, Mzize wabaki Stars ikisafiri Nigeria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
41m ago
Job, Mzize wabaki Stars ikisafiri Nigeria

Wakati kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kikisafiri kuelekea Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2026, wachezaji wa Yanga Dickson Job na Clement Mzize hawakuwa sehemu ya kikosi hicho.

Job na Mzize walikuwa miongoni mwa wachezaji ambao walitangazwa kujumuishwa kwenye kikosi lakini kutokana na changamoto za majeraha walizopitia, nyota hao wameachwa ili kuimarika zaidi.

Job na Mzize wamerejea hivi karibu kwenye kikosi cha Yanga wakitoka kwenye changamoto za majeraha ambazo ziliwaweka nje ya uwanja kwa muda mrefu.

Nyota hao wako Zanzibar na kikosi cha Yanga kilichoweka kambi ya siku 10 chini ya kocha mpya wa timu hiyo Fadlu Davids.

Aidha wachezaji Bakari Nondo Mwamnyeto, Ibrahim Bacca na Seleman Mwalimu wamesafiri na kikosi cha Stars Nigeria.

Wachezaji hao ni miongoni mwa wachezaji waliokwenda kwenye majukumu ya timu za Taifa.

Wengine Djigui Diarra (Mali), Albert Kangwanda (Zambia), Peter Shalulile (Namibia) na Hussein Zakuane (Comoros)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kila mmoja atapambania nafasi yake uwanja wa mazoezi
Kila mmoja atapambania nafasi yake uwanja wa mazoezi
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya kuanza kazi Yanga, milio inasikika upande wa pili
Baada ya kuanza kazi Yanga, milio inasikika upande wa pili
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Novemba 09 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Novemba 09 2026
5h ago
READ MORE β†’
Siku 10 za kuisuka upya Yanga Zanzibar
Siku 10 za kuisuka upya Yanga Zanzibar
1d ago
READ MORE β†’
Dladla ataendelea na majukumu ya Kocha Msaidizi Yanga
Dladla ataendelea na majukumu ya Kocha Msaidizi Yanga
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 08 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 08 2026
1d ago
READ MORE β†’
Fadlu atua Avic Town, kuweka mipango sawa
Fadlu atua Avic Town, kuweka mipango sawa
1d ago
READ MORE β†’
Fadlu aongeza wawili benchi la ufundi Yanga
Fadlu aongeza wawili benchi la ufundi Yanga
1d ago
READ MORE β†’
Nimefurahi kujiunga na Yanga - Fadlu
Nimefurahi kujiunga na Yanga - Fadlu
2d ago
READ MORE β†’
Kazi ndio inaanza, Fadlu ni rasmi
Kazi ndio inaanza, Fadlu ni rasmi
2d ago
READ MORE β†’