Dladla ataendelea na majukumu ya Kocha Msaidizi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27m ago
Dladla ataendelea na majukumu ya Kocha Msaidizi Yanga

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe, amebainisha kuwa licha ya Fadlu Davids kuja na wasaidizi wake lakini baadhi ya wataalam waliokuwa kwenye benchi la ufundi kabla ya ujio wake, wataendelea kusalia

Aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu Simon Dladla atakuwa kocha msaidizi namba moja, Kagisho ataendelea kuwa kocha wa mipira ya adhabu na Yardaan Valodia ataendelea kufanya kazi kama Tactical Perfomance analyst wa timu.

Aidha Greg Etafia ataendelea na majukumu yake ya kocha wa magolikipa.

Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam mapema leo kuelekea Zanzibara ambako wataweka kambi ya siku 10.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 08 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 08 2026
4h ago
READ MORE β†’
Fadlu atua Avic Town, kuweka mipango sawa
Fadlu atua Avic Town, kuweka mipango sawa
15h ago
READ MORE β†’
Fadlu aongeza wawili benchi la ufundi Yanga
Fadlu aongeza wawili benchi la ufundi Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Nimefurahi kujiunga na Yanga - Fadlu
Nimefurahi kujiunga na Yanga - Fadlu
1d ago
READ MORE β†’
Kazi ndio inaanza, Fadlu ni rasmi
Kazi ndio inaanza, Fadlu ni rasmi
1d ago
READ MORE β†’
Fadlu alivyotua, ujumbe wake kwa Wananchi
Fadlu alivyotua, ujumbe wake kwa Wananchi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumamosi, Novemba 07 2026
Magazeti ya leo Jumamosi, Novemba 07 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga kuweka kambi ya muda mfupi Zanzibar
Yanga kuweka kambi ya muda mfupi Zanzibar
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya yanaendelea KMC Complex
Maandalizi ya yanaendelea KMC Complex
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki ameanza kwa kusuasua lakini namba zinaongea
Aziz Ki ameanza kwa kusuasua lakini namba zinaongea
1d ago
READ MORE β†’