Kikosi cha Yanga kimeendelea na maandalizi yake uwanja wa Uhuru licha ya ligi kusimama kupisha kalenda ya FIFA.
Baada ya kukamilisha program ya mazoezi jijini Dar es salaam, Wananchi wanatarajiwa kuelekea Zanzibar kwa ajili ya awamu ya pili ya maandalizi hayo.
Nyota ambao hawana majukumu ya timu za Taifa watashiriki program hiyo.












ADVERTISE HERE