Mabingwa watetezi ligi kuu ya NBC Yanga Jumapili watakuwa dimba la nyumbani, KMC Complex kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa raundi ya 10 ligi kuu ya NBC.
Mapema tu Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 1 usiku.
Tiketi zinapatikana kupitia mtandao wa TFF.

ADVERTISE HERE